LEO Mzee Kingunge kaongea na vyombo vya habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.
Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi…
1 comment:
Mzee nadhani umeshapitiliza umri wa kulitumikia taifa. Nakushauri urudi kijijini ukapumzike. Hata umri wa mtanzania wa kuishi umeshapitiliza. Sasa hivi unaishi kwa umri wa bonus. Kapumzike kwa amani waache vijana wafanye kazi. Haiwezekani kumpata mgombea atakayemridhisha kila mtanzania.
Post a Comment