ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 24, 2015

KMKM WAMELALA 2 TAIFA YANGA SASA MOJA KWA NOJA ROBO FAINALI KIROHO SAFI


MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans leo wamefanikiwa kuingia robo fainali baada ya kuwalaza KMKM goli 2 bila majibu, ni Busungu tena amecheka na nyavu na kumfanya kuwa na magoli 3 katika mechi tatu alizocheza. Magoli ya Yanga yalifungwa na Busungu goli moja na Tamwe goli la pili. Kipindi cha kwanza timu zote zilienda mapumziko bila kufungani hali hiyo ilikuwa pressure kwa wanazi wa Yanga kwani kama wange poteza mchezo wa leo basi wange kuwa wamesha toka katika mashindano hayo na kurudi mtaa wa jangwani kwenda kuuza chapati za maji  maana ndiyo ingekuwa uwezo wao huo baada ya kuchindwa kucheza mpira.

No comments: