Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake
wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa furaha kubwa
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea
mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini
Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa
Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa
akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani
Dodoma na baadae kurejea jijini

akisaini vitabu vya ofisi ya CCM juu ya gari ndani ya mji wa
Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita alipopita kuwasalimia na
kuwashukuru Wananchi wa mji Bukombe mchana huu alipokuwa akipita njiani
kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae
kurejea jijini Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe
mkoa wa Geita mchana huu alipokuwa akipita njiani kuwashukuru na
kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae
kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake
wakimsikiliza Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe
Magufuli mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi
hao alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi
alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini
Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwashukuru na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa
Ushirombo,wilayani Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa
akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani
Dodoma na baadae kurejea jijini
Dar.
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Kahama mchana huu
alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea
mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini
Dar.PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-DODOMA
No comments:
Post a Comment