Advertisements

Thursday, July 16, 2015

MANGE KIMAMBI ACHUKUA FOMU NA KUKAMATWA KWA 'CYBERBULLYING'

 
Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa Kinondoni kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande na Anasubiri Kufikishwa Mahakamani wakati wowote kuanzia kesho
 
-williammalecela.com 

4 comments:

Anonymous said...

Why??!! Jamani!!!! Mbona nchi ni uozo hii!!! Uuugh...

Anonymous said...

Tanzania hakuna FREEDOM of speech kabisa,ukisema ukweli ni shidaaa,hatutakaa tuendelee hata jirani zetu kenya na uganda they are waaay far than us,shame shame shame,am sick of this country

Anonymous said...

ni vyema wakimuhukumu cybebully ni serious issue hiyo ni criminal case sio ya kuchezea sasa msilete mambo ya kujuana mkamtoa kwa pesa za kuhonga apewe adhabu inayomstahili

Anonymous said...

Apewe adhabu ya nini wee mdau hapo juu???kwa kusema ukweli???nyie ndio mtaendelea kuwa mambumbumbu mpaka mnakufa,mmeshazoea kudanganywa na viongozi basi mnaona rahaaaa,ndio maana nchi haisogei,kwani hao waliomshati si wamehonga pia,tanzania mmezoea kuhonga tu hata kidai haki zenu mnaogopa,kwendeni zenu