| Balozi Liberata Mulamula akiwa na mwenyeji wake mkuu wa itifaki Bw Peter Selfidge |
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maafisa wa ubalozi wakisikiliza hotuba zilizokua zikiendelea.
| Mkuu wa Itifaki Bw Peter Selfidge pamoja na Balozi Liberata Mulamula wakipata nasaha fupi |
Balozi Liberata Mulamula akitoa zawadi kama shukrani na ukumbusho wa ushikiano wa Tanzania na Marekani kwenye kudumisha diplomasia baina ya nchi hizo.
Balozi Liberata Mulamula pamoja na Balozi na Cabo Verde nchini Marekani Mhe . Jose Luis Rocha.
Picha ya pamoja baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi na familia ya Balozi Liberata Mulamula bila kumsahau Bw. Nathan Flook afisa wa dawati la Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI NA KWA PICHA ZAIDI UNGANA NASI HIVI PUNDE.
No comments:
Post a Comment