
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao cha maandalizi ya Mkutano wa kumi na mbili (12) wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika Wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofunguliwa leo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre jijini Dar es salaam

Katibu Wakuu na watendaji mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimneti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhem James Meru

Taswira ya moja ya eneo mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika utakapofanyika.
No comments:
Post a Comment