ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 16, 2015

MPANGAJI WA NHC MBEYA ATUPIWA VITU NJE

Madalali wa mahakama wakitoa vitu nje kwenye moja ya  wapangaji wa shirika la nyumba la Taifa (NHC)jijini Mbeya .ambao wamekuwa wakidaiwa na shirika hilo (Picha na David Nyembe)
Baadhi ya wananchi wakishangaa zoezi la utoaji wa vitu nje kwa mpangaji wa NHC ambaye amekuwa akidaiwa muda mrefu na shirika hilo.

No comments: