Advertisements

Sunday, July 5, 2015

MPENDWA WETU EMMANUEL ELISA NYITI MWILI WAKE APUMZISHWA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE NYUMBANI KWAO KILUVYA

 Kabuli alikozikwa mpendwa wetu Emmanuel Nyiti likiwa limewekewa maua yaliyowekwa na ndugu wa marehemu kwenye mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa marehemu Kiluvya, Dar es Salaam  siku ya Jumapili July 5, 2015. Marehemu alifariki Kansas City jimbo la Missouri nchini Marekani June 20, 2015.
 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu mpendwa wetu Emmanuel Nyiti likiandaliwa kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kabla ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
 Ndugu,jamaa na marafiki wakiwa nyumbani kwa marehemu katika ibada ya mazishi na kuaga mwili iliyofanyika Kiluvya, Dar es Salaam siku ya Jumapili July 5, 2015.
 Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika katika ibada ya mazishi na kuaga mwili wa marehemu mpendwa wetu Emmanuel Nyiti nyumbani kwao Kiluvya, Dar es Salaam siku ya Jumapili July 5, 2015.


No comments: