Advertisements

Sunday, July 5, 2015

NDOA YA SANDRA NA GEORGE DALLAS, TEXAS


Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia.
 Bwana harusi George (kulia0 akiwa na mmoja ya wasimamizi wake wakihakikisha wanacho cheti cha ndoa hii ilikua kabla ya ndoa yake na Sandra haijafungwa.
 Katikati ni Alvin kaka ya Bi. harusi akimkabidhi Sandra kwa George ikiwa ni ishara ya Alvin kwa niaba ya familia kuridhia dada yake kuolewa na George.
Mchungaji Marty Younkin akifungisha ndoa ya Sandra na George iliyofanyika katika Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr, Dallas, Texas.
 George akimvisha Sandra pete.
 Sandra akimvisha George pete.
Sandra na George wakichum .
For more photos click soma zaidi






No comments: