ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 31, 2015

NGOMA AFRICA BAND KUVAMIA MJINI LIGA ,NCHINI LATIVIA 1 AGOSTI 2015

Habari zimevuja kuwa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras Makunja yenye makao yake kule Ujerumani
inatarajiwa kulitingisha jukwaa la Summer Festival mjini Liga,nchini Lativia siku ya 1 Agosti 2015,
kwa mara ya kwanza washabiki wa muziki wa dansi nchini Lativia watavaana uso kwa uso na mzimu wa muziki wa dansi wa kiafrika Ngoma Africa Band aka FFU.

wasikilize FFU-Ughaibuni at www.reverbnation.com/ngomaafricaband pia at www.facebbok.com/ngomaafricaband

https://itunes.apple.com/us/album/mama-kimwaga-sugar-mum/id947329929

at https://play.spotify.com/album/4kG86JgvuyWQtgCPCPmCkY

No comments: