ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 14, 2015

RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI


 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa 
   kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. 
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio la Polisi IGP Ernest Mangu
 wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa    kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. 


 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa 
wa Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli


2 comments:

Anonymous said...

BATA UMANGANI BABU YANGU KWENDA MAMBELE UKAKWIVE TUACHIE MAPOMBE NA MAKUFULI YETU USWAZI KWETU

Anonymous said...

Hivi hapo nimemuona mjumbe wa halmashauri kuu bi Sofia Simba! Tena kava njano baada ya kukashfu Kamati? Siamini! Kweli siasa mchezo mchafu! Hawa na akina chenge, lowassa ndio wanaipa siasa Jana baya. Ajabu sana!!