ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 15, 2015

Rais Kikwete akutana na Koffi Annan Geneva


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungmzo na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan mjini Geneva leo.Watau kushoto ni Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva Mh.Modesti Mero.Koffi Annan alikuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kati ya mwaka 1997 na 2006(picha na Freddy Maro)


No comments: