ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 18, 2015

Reggae Time ya Pride Fm. Leo, Jumamosi Julai 18, 2015

Mubelwa Bandio.......Mtayarishaji na Mtangazaji wa Reggae Time ya Pride Fm
Kutoka Studio 3 hapa Maryland U.S.A...Reggae Time ya leo imegusia haya...
Imani kiduchu imeguswa. Si ni Eid?
Lakini pia......
Nini tufanye tunapokuwa kwenye sherehe kama hizi, na wenzetu wana majonzi ama huzuni ama wamekata tamaa?
Wasanii wa Reggae wameimba lolote kuhusu hilo?
KARIBU

Kipindi cha REGGAE TIME kutoka Pride Fm Mtwara Tanzania hutayarishwa na kutangazwa na Mubelwa Bandio
Husikika kila Jumamosi kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki
Radio hii yasikika duniani kote kupitia tovuti www.878pridefm.com na kwa walio Marekani na Canada wanaweza kuisikiliza kwa kupiga namba 832 280 0658

No comments: