ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 18, 2015

SALAMU ZA EID MUBARAK KUTOKA KWA MDAU WA VIJIMAMBO

  
Salamu za Eid Mubarah kutoka kwa mdau wa Vijimambo Salum Jongo wa Magati Pharmacy  Kijitonyama Dar-Es-Salaam.
 Hapa Salum Jongo kulia  akipata ukodak pamoja na maustadh wenzie baada ya sala ya Eid. mbele ya Mosque Al Noor Upanga Dar-Es-Salaam.
Salum  akipata ukodak wa kumbukumbu nje ya Al Noor Mosque Upanga baada ya sala ya Eid.

1 comment:

Anonymous said...

MASHALLAH UMMATI MUHAMMAD HUO.WATAKUKOMENI NA WANAKUSOMENI NUMBER KILA LEO.MASHALLAH.EID MUBARRAK.ALLAH AKUJALIYENI USHIKAMANO NA UPENDO NA KILA LA KHEIR AMEN THUMA AMEEN.