Meza kuu ikiongozwa na mwenyekiti wa TAMCO Ally Moahamed (kati) wakiwemo wawakilishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. afisa wa uhamiaji Bwn. Abbas Nissana (kulia) na Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Colonel Adolph Mutta.
Mtunza fedha wa TAMCO Bi. Asha Harizi (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake.
Colonel Mutta akiongea machache
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi












1 comment:
mashallah mmependeza wenyewe mashallah eid Mubarak wote huko.Allah akubarikini sana amen.jicho la mahasidi lisikupateni amen.
mshikamane mpendane na dini yenu msii iache.isiwe tu ramadhan muwe na Allah daima katika maisha yenu. amen.
eid mubarrak.
Post a Comment