
Naitwa Mbaki Mutahaba, niko Dar es Salaam. Nimekaa miaka mingi kidogo upande huo, Bay Area California. Passion yangu ni mpira and I have tried hapa na pale kusaidia madogo hapa kwenye maswala hayo.
Short term support inakuwaga mipira, jersey...
Long term support which I have now started implementing includes providing scholarship package at their secondary level, with hope kwamba they can balance talent with a good education and eventually use that to apply for scholarships in US Colleges.
But this email is about Watanzania wapenda SOCCER ughaibuni. It is a fact kwamba that is the area where mkusanyiko wa watanzania wengi wanaoncheza au wenye mapenzi ya mpira ulipo. Na blog yako imefanya kazi nzuri sana ya kutuhabarisha kuhusu hayo. I wanted to challenge them so they can play a significant role in the development of the game hapa Bongo.
Kwa uelewa walionao and access waliyonayo ya vifaa especially used, I believe they can help. Options za wapi kusaidia ni nyingi sana, wachague wao au I can help point. Naomba ufikishe ujumbe/ombi langu hilo. Ninaamini kabisa kwamba they can make a difference. I would like to see them sponsor a youth neighborhood team or even a school. What I can assure them on this end is I will make sure whatever they decide to do will be done the right way na sio kimagumashi.
Nimekuwa nikitaka kuleta hii hoja kwa muda sana lakini saa zingine mambo yanaingiliana.
Well i look forward to your response and I hope this is not taken in any personal manner. Ni mdau mwingineo tu wa mchezo wa mpira email yangu ni mbakileki@gmail.com
No comments:
Post a Comment