ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 18, 2015

VIJANA WAKATA RUFAA MECHI KURUDIWA JUMAPILI MEADOWBROOK

 Timu ya Wazee
 Timu ya Vijana

Timu ya Vijana hatimae rufaa yake imekubaliwa na mechi yao na Wazee DMV kurudiwa siku ay Jumapili July 19, 2015 katika uwanja wa Meadowbrook Park.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na inatarajiwa kuanza saa 11:45 jioni(5:45pm). Mechi iliyopita Vijana japo walitanguliakufunga magali lakini baadae kuzidiwa  na kujikuta kufungwa magali 5-3 na timu ya Wazee iliyotumia uzoefu wao kuonyesha makali yao.

Mechi inatarajiwa kuwa kali na ya kulipiza kisassi.

No comments: