Advertisements

Thursday, July 30, 2015

WAKAZI WA KIMBIJI WAMPENDEKEZA DIWANI MUHIDINI BUNAYA SANYA KUGOMBEA TENA

Wakazi wa Kata ya Kimbiji,Wilaya Temeke mkoani Dar-es-Salaam wamefunguka tena kwa kumpendekeza na kumtaka Diwani wao Mheshimiwa Muhidini Bunaya Sanya kugombea tena nafasi ya udiwani wa Kata hiyo ya Kimbiji hiliyopo wilaya Temeke. Wananchi wa wamemtaja Diwani wao huyo kijana Muhidini Bunaya Sanya kuwa ni mchapa kazi,mbunifu na mpenda maendeleo mwenye uchungu na Kimbiji. Wakazi wa Kata ya Kimbiji wanawaomba wananchi wote kusimama bega kwa bega kwa kumpa kura zote za maoni Bwana Muhidini Bunaya Sanya ili aweze kututumikia tena katika nafasi ya udiwani na kutuwakilisha katika baraza la madiwani la wilaya ya Temeke. Pendekezo la kata ya Kimbiji Muhidini Bunaya Sanya aka Jembe La Pini wa Chuma
Usikose kuungana na wanakimbiji at www.facebook.com/wanakijiji.kimbiji

No comments: