Kutoka kushoto ni Mohammed Mahmoud, Mwamoyo Hamza na Amos Wangwa wanahabari wa Voice of America (VOA) wakiwa katika picha ya pamoja mjini Nairobi nchini Kenya kuhabarisha yanayojiri katika ziara ya Rais wa Wamarekani Mhe. Barack Obama anayefanya ziara nchini Kenya.
No comments:
Post a Comment