Advertisements

Tuesday, July 28, 2015

WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA BASI LA SABUNI EXPRESS KUGONGAA USO KWA USO NA TOYOTA LAND CRUISER ENEO LA BUGORORA MKOANI KAGERA

 Watu wanne wanasadikiwa kufariki dunia baada ya Basi la Kampuni ya Sabuni Express linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Mwanza kugongana uso kwa uso na Gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa imebeba Masister eneo la Bugorora,ikitokea Bukoba mjini kuelekea Mutukura.
Baadhi ya miili ya marehemu waliofariki katika ajali hiyo

Askari wa Usalama barabarani akiwa eneo la tukio.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

1 comment:

Unknown said...

mungu awatie nguvu jamaa walio poteza maisha ,pia awape afya haraka majeruhi