ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 1, 2015

WIMBO ULIOVUJA KUTOKA KWA DIAMOND JITIRIRISHE HAPA


4 comments:

Anonymous said...

Wimbo huu aliimba zamani kabla hajakutana na hata mpenzi wake Zari.

Unknown said...

Mbona iko poa tu

Anonymous said...

this young man is ferociously talented kwa standard za kitanzania na kiafrika. namshauri awe makini katika maisha yake ya kawaida kwani makosa anayoyafanya yanaweza kumharibia maisha yake ya kimuziki. Diamond inabidi ukue kiakili sasa hii mambo ya kuruka ruka mara na mpenzi huyu mara yule inakuongezea maadui na kukupotezea focus ya kazi zako kimuziki. kila ukiachana na hawa kina dada of course they get hurt and they plan to hurt you too. jambo zuri kwa sasa ni kutafuta mmoja wao umuoe na uanzishe familia yako amini usiamini heshima yako itaongezeka sana. vyombo vingi vya habari vya tanzania vinapendelea visa vya mahusiano ya kimapenzi ya watu. wanawake kuchukuliana mabwana na wanaume kuibiana mabibi, wapendanao kufarakana nk.natoa mifano michache ni kwamba utaona mastaa wetu wakubwa story zao kubwa sio kuhusu profession wala career zao bali ni kuhusu maisha yao na wapenzi wao. mfano ma actor/actress wetu instead of talking about new big movies they have or about to release they talk about kuchukuliana mabwana. movie industry in tanzania is not growing up inspite of the enormous market, most of the stories are repetitions or lacking complexities. hata hivyo hongera wote kwa kujitahidi Rome was not build in a day

Anonymous said...

You may have just wasted you time crafting an advice that may never be read by poor Diamond. The original post didn't come from him; so there's no guarantee that he'll visit Vijimambo and see your advice!