ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 10, 2015

YANGA YAZIDI KUJIIMARISHA NA KAGAME


Mshambuliaji mpya wa Yanga kutoka timu ya Platinum ya Zimbabwe, Donald Ngoma, akionesha umahiri wake wa kuchezea mpira kwenye mazoezi hayo.
Daktari wa Yanga, Juma Sufiani (kushoto) akiwaelekeza jambo, Geofrey Mwashiuya na Andrey Coutinho (kulia) ambao ni majeruhi.
Beki mpya wa Yanga kutoka nchini Ghana, Joseph Zuttah (katikati) akimiliki mpira huku, Deus Kaseke (kulia) na Simon Msuva wakimzonga.
Donald Ngoma akionesha uwezo wa kumiliki mpira.
Baadhi ya mapaparazi waliofika kujionea kwenye mazoezi hayo.

KIKOSI cha Yanga leo kimeendelea kujiimarisha kwa ajili ya michuano ya Kombe la Kagame ambayo inatarajiwa kutimua vumbi jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

No comments: