Afisa ubalozi atakuwepo hapa jijini kwa ajili ya kubadilisha passport siku za Jumamosi na Jumapili.
Muhimu sana, nimesisitiziwa, kila mmoja ambaye atatumia huduma hizi asome kwa uangalifu hizi requirements (attached), tafadhali.
Huduma itatolewa kwenye anuani ifuatayo:
20700 Ventura Blvd., Suite 205, Woodland Hills, CA 91403
Jumamosi - August 15, 2015 - kuanzia saa tisa mchana hadi saa kuminambili jioni (3pm - 6pm)
Jumapili - August 16, 2015 - kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni (9am - 6pm)
Tunaomba ukamilishe all the requirements before coming, tafadhali. Vilevile ningeomba tuwasiliane kabla ya kuwasili kwenye address ili tusipoteze muda wa kusubiri.
Asanteni,
Rabia Dahal
818.378.6076
7 comments:
Hivi mpaka leo bado watu wanatumia passport za TZ kusafiria?
We unatumia ya wapi?
Sasa ulitaka watumie passport zipi za Zimbabwe? Swali gani la kijinga hilo
ARE YOU SICK MDAU? WAPO WATANZANIA WENGI HAPA MAREKANI NA SIYO KILA MTU AMEUKANA URAIA WAKE WA KITANZANIA. UNADHANI KAMA UNAYO PASI YA MAREKANI AU NCHI NYINGINE YA NJE MAKES YOU SUPERIOR? MDAU HAPO JUU HAVE PROVED KUWA TUNAO WATU AMBAO HAWAJAELIMIKA KIMAWAZO LICHA YA KUISHI UGHAIBUNI, WHAT A WASTE!
Anony 2:49 ulitaka watumie kitambulisho cha mpiga kura au!! Kuwa na passport ya USA kusifanye uwe zuzu na kuona kila cha nyumbani hakifa na sio ila mtu anadhiki na passport ya nje kama wewe, bado wakati huo huo unalilia uraia pacha ulivyo boya
Make sure umepewa risiti kwenye malipo yeyote mtakayo fanya hawa watu wa ajabu sana
Nakuunga mkono mdau wa kwanza passport yenyewe ni ya ccm angalia rangi yake, ccm yenyewe wanyanyasaji wa watu mara wanawatupia Watanzania wasio na hatia mabomu ya machozi bila sababu za msingi. Kwanza wakitaka tujivunie passport yetu waibadilishe rangi may be gold, silver ,black au rangi yoyote isiyofungamana na Chama chochote
Post a Comment