Advertisements

Saturday, August 22, 2015

YANGA YANYAKUA KOMBE LA NGAO KWA MATUTA 8-7 BAADA DIKIKA 90 0-0


Mpaka sasa ni 0-0 mpira ni mapumziko

Washambuliaji wa Yanga Saimon Msuva, Donald Ngoma raia wa Botoswana na Vicent Bossou raia wa Mali wanaitetekisha ngome ya Azam kila Mara kutokana na mashambulizi ya Mara Kwa Mara kutoka Kwa winga wao Kijana mdogo Geofrey Mwashiuya. Yanga kipindi cha kwanza walitoa mashambulizi kutoka upande wa Kusin kenda kaskazini kipindi cha pili Yanga watatoa mashambulizi kutoka kaskazini kwenda Kusin, historian ya uwanja huu wa Taifa goli la upande wa kusini uwa alilali na njaa sasa tusubiri historia hiyo itaendelea leo hii?.

Dakika 90 zimekwisha mpira umeisha 0-0 sasa hivi timu zinapigiana penati

Mchuano wa penati sasa 7-7 bado hajapatikana

Azama wanakosa penati ya 8 Yanga wafungwa ya kwao na kuibuka washindi wa kombe la Ngao kwa jumala ya mabao ya mikwaju ya penati 8-7.

 Kwa taarifa zaidi Jiunge ya NY Ebra alipokua uwanja wa Taifa akishuhudia mpambano na akikudadavulia hali ilivyokua ya mpambano huo wa kukata na shoka

No comments: