Wajameni muwepo katika mapenzi na wanaume kabla ya kujishika hizi mimba na sio munalazimisha mwishowe mtajikuta mnalea peke yenu na mihasila kibao yaani hadi raha baba akimpokea mwanawe kwa fulaha
Diamond and Zari congratulations to both of you. Diamond hongera sana mambo ndiyo hayo sasa. Kumpenda mtoto ni muhimu sana. Attachment and bonding is very important for the infant and for parents. Chunga sana SIDS. Usilale na mtoto kitanda kimoja au usimlaze kifuani kwako kwa muda mrefu ukajisahau. Mtoto akashindwa na pumzi na kumpoteza. Usilale na mtoto kwenye coach or love seat kwa muda Zaidi ya 15 minutes ukajisahau. SIDS ni sudden Infant Death syndrome ni kitu kibaya sana. Yaani unampenda mtoto nakumshikilia kifuani kushikwa na usingizi hadi unaziba pumzi hadi kupoteza maisha. Hongera sana. Zari anajua namna ya kutunza mtoto atakuongoza kwani she has experience in taking care of kids.
Munazalia nini kama baba hawawataki? Muacheni diamond kwa miaka 1000000 Zari na domo wamependana wenyewe na wamezaa kwa mapenzi Muacheni baba ampende mwanawe ndio raha ya mtoto ndani ya mapenzi
10 comments:
CONGRATS TO OUR WIFI ZARI FROM USA
Wajameni muwepo katika mapenzi na wanaume kabla ya kujishika hizi mimba na sio munalazimisha mwishowe mtajikuta mnalea peke yenu na mihasila kibao yaani hadi raha baba akimpokea mwanawe kwa fulaha
Limbukeni
Kwani ndo baba wa kwanza
jamani kila mtu na mmapenzi yake kwa mtoto wake mwache Dai afurahie maisha yake na mwanae, Viumbe wazito kwel, pilipili usoila unakuwashia nini?
Wenye roho za kwanini mbona mtaumia sanaaaaaaaaaaa
Diamond and Zari congratulations to both of you.
Diamond hongera sana mambo ndiyo hayo sasa. Kumpenda mtoto ni muhimu sana. Attachment and bonding is very important for the infant and for parents. Chunga sana SIDS. Usilale na mtoto kitanda kimoja au usimlaze kifuani kwako kwa muda mrefu ukajisahau. Mtoto akashindwa na pumzi na kumpoteza. Usilale na mtoto kwenye coach or love seat kwa muda Zaidi ya 15 minutes ukajisahau. SIDS ni sudden Infant Death syndrome ni kitu kibaya sana. Yaani unampenda mtoto nakumshikilia kifuani kushikwa na usingizi hadi unaziba pumzi hadi kupoteza maisha.
Hongera sana. Zari anajua namna ya kutunza mtoto atakuongoza kwani she has experience in taking care of kids.
Munazalia nini kama baba hawawataki? Muacheni diamond kwa miaka 1000000 Zari na domo wamependana wenyewe na wamezaa kwa mapenzi Muacheni baba ampende mwanawe ndio raha ya mtoto ndani ya mapenzi
kwa ushauri tu mtoto hatakiwi kulalia tumbo kamwe,
ZINGATIA
Hongereni wazazi
Adorable!
Post a Comment