Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo,(kulia)Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein na (kushoto) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Said Mohamed Seif wakati alipotembelea katika madarasa ya Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi rasmi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akitoa maelezo wakati alipotembelea maktaba ya Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi rasmi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Said Mohamed Seif (katikati) wakati alipotembelea katika madarasa ya Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Willium Mkapa Mchanga mdogo kaskazini Pemba leo baada ya kufanya uzinduzi rasmi.
Wanafunzi katika Chuo cha Ualimu cha Benjamin Williuam Mkapa na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya mchanga mdogo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza baada ya uzinduzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo hicho leo katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Mkoa wa kaskazini Pemba.
Baadhi ya Wazee na Wananchi wa Kijiji cha Mchanga mdogo Kaskazini Pemba wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa SUZA katika Chuo hicho leo katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Mkoa wa kaskazini Pemba.
No comments:
Post a Comment