Advertisements

Sunday, August 30, 2015

DURHAM WACHANGIA JIJI LA ARUSHA KWA KUFANYA ONESHO LA SABA SABA FAIR TRADE

Mrs Nturu mmoja ya waandaji wa saba saba fair trade iliyofanyika Jumapili Aug 30, 2015 jijini Durham, North Carolina kwa ajili ya kuchangia mji wa Afrusha ambao ni mji dada na mji wa Durham.
Mmoja ya wajasiliamali akionyesha bidhaa zake kwa wageni waliofika.
 Nashona akimwelekeza mmoja ya wageni waliofika leo jinsi ya uvaaji khanga.

David Mngondo akiongea na  mmoja ya wageni wahudhuriaji saba saba day.

Meza nyingi ya familia ya Kitanzania wakitangaza bidhaa zao.




1 comment:

Joy Mbaga said...

Asante Luke kwa time yako na show ya saba saba ili enda vizuri Nita penda kurudi tena mwakani asanteni.