Advertisements

Sunday, August 30, 2015

DK. FAUSTINE NDUGULILE AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI VIJIBWENI‏

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzima uliopo Kata ya Vijibweni, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.
Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani mgombe ubunge kupitia CCM, Dk. Faustine Ndugulile.
Wanachama wakimsikiliza kwa makini mgombea.
Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (kulia) akimkabidhi ilani ya chama hicho mgombea nafasi ya udiwani kupitia chama hicho, Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Vijibweni jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti CCM Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (kulia) akimnadi mgombea nafasi ya udiwani kupitia chama hicho, Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Kata ya Vijibweni, Dar es Salaam.
Mkundi akizungumza na wananchi.
Dk. Faustine Ndugulile akisindikizwa na wananchi na wanacha wa CCM.


Mgombea ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia CCM, Dk.Faustine Ndugulile akipanda jukwaani.
Wananchi wakimsikiliza mgombea ubunge kupitia CCM.

No comments: