ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 28, 2015

Hotuba ya Mwl. J.K Nyerere kuhusu kukabidhi inchi kwa wapinzani


5 comments:

Anonymous said...

Jamani huu sio wakati wa kuzungumzia maswala ya Mwalimu alishaondoka hata tukitaanika hayatawaondolea waTanzania dhiki waliyo nayo. Na kabisa wanahitaki mabadiliko na hayatatoka ndani ya chama tawala kwa sasa hivi kwani kimewanukisha waTanzania hali ngumu ya maisha na viongozi wameitafuna nchi hii hakuna mwelekeona bado wanataka kiendelea sawa Mh Magufuli hakuna utakaloweza ikiwa humu ndani ya haonhaonuliopewa kwenye kamatinya kampeni ni watafunaji wakubwa. Angalia wizara ya fedha na Elimu ukiritimba uliopo utafanya nini. Mh. Mwigulu ndio pamoja na kauwezomkadogo lakini anachemka kwa ahadi hewa..

Anonymous said...

Yeye (Nyerere) mbona alikabidhiwa nchi na wazungu (wakoloni) akiwa hana hata tone la uzoefu?.atuambie uzoefu wa kuongoza nchi aliupata wapi kabla??

Anonymous said...

Unatania eeh?! Nani aliongoza ukombozi wa Tanganyika kutoka kwa wakoloni? Au wewe si Mtanzania?

Anonymous said...

Huwezi kusonga mbele bila kuangalia ulipo toka na kujua hekima ya watu walio pita hiyo safari ambayo wewe unataka malizia. Ndio maana hata Biblia huwezi elewa kitabu cha Kutoka bila kusoma kitabu cha Mwanzo ili kujua unapo kwenda!!

Anonymous said...

asante mwalimu,well spoken