Mafundi wa Hospitala wakiunganisha kitanda cha kujifunguliwa kilicholetwa na Mh Janet Mben kwa ajili ya hospitalai za ieleje
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene,akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika hospital ambavyo avimetolewa na Karemjee Foundation kwa ajili ya Hospital ya Ileje.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCMwilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo.
Mganga mkuu wa Wilaya ya ilje akiangalaia sehemu ya msaada wa vitanda uliotolewa na Janet Mbene
No comments:
Post a Comment