ANGALIA LIVE NEWS

Monday, August 10, 2015

Kiwanja cha kufurahishia watoto PEMBA, kufunguliwa rasmin tarehe 26/08/15

WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, wa pili kutoka kushoto, watatu ni Afisa Mdhamini Wizar ya Fedha Pemba Bakari Haji, wakitabasamu na viongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar, mara baada ya kuridhika na hali ya kiwanja hicho kilivyofikiwa pamoja na kujaribiwa kwa pembea hizo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akifunga mkanda mara baada ya kupanda ndege zilizomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi Chake Chake Pemba, kiwanja hicho ambacho tayari kimeshakamilika kwa asilimia 95%.
WAZIRI wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee, akiwa ndani ya Pembea pamoja na Mwenyekiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) DK. Suleiman Rshid Mohamed, wakati alipofanya ziara ya siku moja ya kuangalia maendeleo ya kiwanja hicho.
PEMBA aina ya wanda alikizunguruka huku viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwemo huko, wakiongozwa na waziri wa Fedha na Uchumi wa Zanzibar Mhe:Omar Yussuf Mzee.

No comments: