Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia tovuti za www.tzdiaspora.com na www.tzdiaspora.org.
Endapo mtakwama ama kukumbana na changamoto yeyote musisite kuwasiliana na waandaaji kupitia kwenye email ya Idara: diaspora@nje.go.tz ama ubalozi@tanzaniaembassy-us.org
Swahiba
Afisa Ubalozi

No comments:
Post a Comment