Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akisalimiana na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 Asya Idarosu Khamsini atafanya onesho la khanga Durham, North Carolina.
Mamamitindo gwiji Asya Idarous Khamsini akipata picha ya kumbukumbu na Balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumatano Aug 26, 2015 siku gwiji hilo la mitindo alipotembelea ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment