Mhe Balozi Wilson Masilingi akisalimiana na wafanyakazi wa Tanzania House, Washington DC.
Mhe Balozi Wilson Masilingi akiwa ofisini kwake na kusaini kitabu maalum .
Mhe Balozi Wilson Masilingi akipata maelezo mafupi kuhusu kituo chake kipya cha kazi kutoka kwa Mwambata wa Jeshi Col Adolph Mutta na Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Uhamiaji Bw Abbas Missana .
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.
No comments:
Post a Comment