ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 25, 2015

MKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.

Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani.
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi
Baadhi ya wafanyakzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakiwa katika sare maalumu wakati wa sherehe za uzinduzi wa tawi hilo .
Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi wakionesha Nyuso za furaha baada ya tawi la Benki hiyo kufunguliwa rasmi .

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi ,Dkt Eve Hawa Sinare akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi hilo.


Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi mjini Moshi.
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Mkombozi,Method Kashonda akizungumza wakati wa ufunguzi wa Benki hiyo tawi la Moshi.
Watawa kutoka Mashirika mbalimbali ya kitawa ya kanisa katoliki waliohudhuria ufunguzi wa tawi hilo mjini Moshi.
Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha Mafunzo Community Center wakifuatilia uzinduzi wa tawi la Benki ya Mkombozi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Mkombozi ,Edwina Lupembe akizungumza katika sherehe ya ufunguzi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.

Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya Mkombozi mjini Moshi.
Wafanyakazi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.


Baba Askofu Isaac Aman akiweka pesa katika akaunti mara baada ya kufungua tawi la Benki hiyo mjini Moshi.


Baadhi ya viongozi wa Benki hiyo tawil la Moshi.


Wananchi waliofika kushuhudia ufunguzi wa tawil hilo wakiwa ndani ya Benki hiyo.

Baba Askofu Isaac Amani akizungumza na waandishi wa habari,

Mmoja wa wanafunzi wa kituo cha Community Center akionesha umahiri katika kucheza muziki katika sherehe ya ufunguzi wa tawi hilo.
Wafanyakazi wa Benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Baba Askofu Isaac Aman mara baada ya kufungua tawi hilo mjini Moshi.
Baba Askofu Isaac Amani akiwa katika picha ya pamoja na watawa.
Mashine za ATM zilizoko katika Benki hiyo.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments: