ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 25, 2015

PICHA ZINGINE ARUBAINI YA MAREHEMU ABASS KHALFAN MANG'ULA

Kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee Abass Khalfan Mag'ula iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 Springfield, Massachusetts nchini Marekani.
Wapili toka kulia ni mke wa mkuu wa Wilaya ya Springfield, Massachusetts mrs Kbodya akipata piccha ya kumbukumbu na Watanzania waliojumuika pamoja kwenye arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee Abass Khalfan Mag'ula iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 Springfield, Massachusetts nchini Marekani.
Mkuu wa Wilaya Springfield Isaac Kibodya (pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waliojumuka pamoja kwenye  arubaini ya mpendwa baba yake marehemu mzee Abass Khalfan Mag'ula iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 22, 2015 Springfield, Massachusetts nchini Marekani.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments: