Advertisements

Saturday, August 1, 2015

MSIKILIZE SENDEKA ALICHOSEMA KUHUSU YEYE KUHAMIA CHADEMA

1 comment:

Anonymous said...

WaTanzania na wapenda Amani na Mungubatujalie.. Ni hivi. Tukibali tukatae hadi kufikia kuanza kwa kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu basi tuendelee kusikia Meengi yanayozidi kipimo na ya uongo mwingi tuuh. Kashfa zitaluwa nyingi saana kwa waandishi, wagombea wenyewe na shutuma nyingi kwa mbele. Wananchi tunaishi kwa shida kila kuchapo hebu tujipange kwenda kwenye sanduku la kura na upigaji lira wakidai kuchelewesha sanduku tujue hapo kuna wizi wa hali ya juu. Tuacheni utani wa kijinga tufanye yanayowahusu waTanzania.!!