ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 11, 2015

MWIGULU NI MOTO WA KUOTEA MBALI,HUKO JIMBONI KWAKE AMETIKISA KURA ZA MAONI,WANANCHI WANAMUUNGA MKONO KINDAKINDAKI


2 comments:

Anonymous said...

Hivi huyu Mwigulu si hapo Iramba kwa kuwauza wanyiramba. Nini alichoweza kuwaunganisha waTanzania. Fedha yabEscro akishirikiana na mkurugenzi wake aliyemwajiri mbona wamekaa kimya. Utabaki na wanyiramba lakininwaTanzania bado hawajakuelewa.

Anonymous said...

Kama siyo ukabila la nini!