ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 11, 2015

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo Lindi.
Meneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga Afisa Uhusiano na mawasiliano Nhif wakishangilia Ushindi wa Kwanza Walioupata katika Maonesho ya Nane Nane Kitaifa katika Viwanja vya Ngongo,Manispaa ya Lindi.
Waziri Mkuu wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania,Mizengo Pinda Akisiliza kwa Makini maelezo ya Huduma zinazotolewa na Mfuko wa Bima ya Afya Toka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Bima ya Afya Makao Makuu,Bw Rehani Athuman.Huku Mkuu wa mkoa wa Lindi na Mtwara wakifuatilia kwa karibu.

No comments: