ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 12, 2015

Nyaraka Hizi Hapa: Kashfa ya Richmond


Naomba wachangiaji msome barua ya katibu mkuu wizara ya madini kwa umakini mkubwa.
Katibu alipewa mamlaka ya kuingia mkataba na RICHMOND baada ya baraza la mawaziri kuridhia mapendekezo kutoka kamati ya serikali ya majadiliano (GNT).
Credit:Kengete blog





10 comments:

Anonymous said...

And. UKAWA
Oye
Mbona CCM hawasemi
Rais jskaya and majina ya wauza unga hata ji
Na mzigo wa Zurich in wa Kinana kimya hadi Leo
Mwachani Lowassa chaguo la wanyonge

Anonymous said...

Kwa bahati mbaya wengine katika kazi hii nzuri ni marehemu. Hebu hii biashara iishe hatuihitaji waTanzania hili ni jambo lililowagusa wananchi wengi. Hebu wekeni mezani swala la ESCROW LA majuzi tu na ni lanukwelinusiokwepeka na bado RUGEMALILA anatesa mjini. Swala la ulaji wa tsh. 1.51 trillioni ambao Mheshimiwa Rais alikuwali kule Dodoma kuwa fedha zinayeyuka mchana kweupe!! Kweli hii ni halali viongozi tunaona na tunalinyamazia. Ikihusishwa TRA hayp mengine nawaachia. Hii ni aibu kwa Tanzania
Yako mambo mengi na kama ni mafisadi wako wengi namba moja RW 1. Huu mchezo unaochezwa sio haki oneni huruma.. Wakibikeni fedha ya Escrow irejeshwe tuacheni kuwapa umasikini waTanzania..

Anonymous said...

NI WAJIBU WETU KUULIZA, JE RUSHWA NI YA RICHMOND PEKEE??JAMANI WAKATI WA KUTAFAKARI KWA KINA NDIO HUU, TUTAUZIWA PICHA YA MAGUFULI ILHALI UKWELI NI KUWA WATAWALA WENYEWE WAKO NYUMA NA NDIO WALEWALE WALIOTUTAWALA MIAKA HAMSINI ILIYOPITA. FUNGUKENI, ACHENI KUSIKILIZA POROJO. ACHENI KUDANGANYWA NA PICHA, TAMBUENI KUWA WALE WALIOWATAWALA MIAKA YOTE WANAJUA MMECHOKA, WANAWATAFUTIA PICHA NZURI NA MNAMO OCTOBA 25 MKISHTUKA WALE WOTE MNAOWAITA MAFISADI WAMERUDI NA WANACHUKUA VYEO VYAO VYA UWAZIRI. KWA KIFUPI IKIFIKIA HAPO TUSIRUDI TENA KULIA, MAGUFULI NI PICHA TU, TAZAMENI KILICHO NYUMA YA MAGUFULI, NI KUNDI LILE LILE. JINSI MNABYOWAONA WANAOGELEA KATIKA UBUNGE,NDIVYO HIVYO HIVYO MTAWAONA KATIKA UWAZIRI IWAPO MAGUFULI ATASHINDA. ACHENI KUSIKLIZA WAPINZANI WA KUDUMU KAMA MTIKILA NA WENZIWE, HAO UPINZANI NI KAZI YAO, FUNGUKENI MTAMBUE KUWA, NAFASI HII YA KUBADILI MFUMO NI FINYU SANA. TAMBUENI KUWA HATA HAO WATAWALA WENU WA SASA WANALIJUA HILO NA NDIO MAANA WAMEMUWEKA MTU AMBAYE ATAWATAMANISHA, NA MARA MTAKAPOMCHAGUA, CHENGE, NA WENZIWE WANAIBUKA

Anonymous said...

Hao wezi wa ESCOROW hawagombei Urais ndo maana hatua gaining nao! Sasa huyu fisadi anayetaka kugombea urais ndo tunamshangaaa!

Asema serikari ya Kikwete imearibu uchumi? Lini kalijua hilo na alifanya nini wakati nayeye alikua sehemu ya serikali ya Kikwete??

Miaka ambayo Lowassa ameitumikia serikali record yake ya utendaji ilitakiwa iwe inang'aa kama lulu ambapo Magufuli asingeona ndani. Nirahisi kwa raiya wa kawaida kumsahau Lowassa (kama asinge gombea urais) kuliko Magufuli kwani kazi za Magufuli na utendaji wake upo wazi na unaeleweka.

Lowassa anasema asinge we za kupinga uwamuzi ilio toka juu? Basi mwambie anyamaze kuhusu maamuzi magumu kwani mwenzie Magufuli aliyafanya maamuzi magumu katika serikali hiyo hiyo. Kumbuka alivyo ikatoka bara bara ya Kilwa!

Nakwanini anafikiri yeye ndo alistahili kushinda wakati wagombea walikuwa wengi? Hiyo demokrasia hipo wapi??

Tatizo nyie UKAWA na Chadema mnapenda kubisha kwasababu ubishi ni jadi yenu, lakini ni mambuluraz fulani hivi amezing, ngojeni muone CCM itakavyo wagalagaza........mjiandaye na msiba mkubwa sana

Anonymous said...

Mtaandika Sana kumsema Lowassa mzee kaakaa miaka 8 kimya inatosha
Sasa mwaka mtaipata CCM wote
Tunajuwa CCM ughaibuni mnaogopa mlizoeya kuiba na kusafirisha sembe
CCM kifo cha Mende mwaka huu

Anonymous said...

HUYU MDAU MTOA MADA NAMBA NNE ANAJISAHAU KWA KUSHABIKIA SOKA ILHALI HII NI SIASA AMBAYO INA ATHARI YA MOJA KWA MOJA KATIKA MAISHA YAKE. UNAMUITA MTU FISADI BILA KUWA NA USHAHIDI, PILI UNALINGANISHA KUNDI KUBWA LA MAFISADI WA CCM NA MTU MMOJA, TATU UNASHINDWA KUTAMBUA KUWA MAGUFULI NI KANYABOYA LA MAFISADI WENGINE WALIOBAKIA NDANI YA CCM, NNE UNASAHAU KUWA NYUMA YA LOWASSA KUNAKUNDI LA WAADILIFU, ILHALI NYUMA YA MAGUFULI KUNA KUNDI LA WAHALIFU, TANO, UNAFUMBIA MACHO HALI HALISI YA NCHI, KWA KUSHADIDIA USABIKI USIO NA MAANA, SITA UNA SINTOFAHAMU NYINGI YA KUSHINDWA KUTAMBUA GHILIBA ZA KISIASA.MWISHO NITAKUJULISHA KUWA, HATA KOMPUTER HUWA NA SCREENSAVER, MAGUFULI NI SCREENSAVER YA CCM, USITOE MAAMUZI KWA KUANGALIA SCREENSAVERR, NENDA NDANI ZAIDI ACHA USHABIKI.

Anonymous said...

mdau wa mwisho umemaliza yani wewe kweli kichwa katika blog hii.kula tano wangu.very well written/said.mungu akubariki na akupe maisha marefu amen.

Anonymous said...

KWA NINI MIHURI FEKI YA WIZARANI INA TUMIKA KUTENGENEZA BARUA FEKI NA WIZARA HAIFUETILII ? HIZI BARUA ZIKO ZA AINA 10 TOFAUTI KWENYE MITANDAO NA HARD COPIES TOFAUTI ZIME ZAGAA KUPITA KIASI.

Anonymous said...

Unawezaje kuondoa matatizo yaliyosababishwa na corruption kwa kumuweka madarakani mtu ambaye amekuwa kinara wa corruption maisha yake yote? UKAWA ni wabovu tu kama alivyo mpeperusha bendera wao. Hakuna mtu muadilifu anayefanya ubia na jambazi huku akijua maovu yote ya huyo jambazi!

Jenga hoja za msingi; acha kuweweseka! Kama mimi ningekuwa Fisadi Lowasa na nikajua wewe unahangaika kunitetea, ningekuwa nimekutaka uwaachie wengine hili jukumu kwa sababu hakuna hoja ya maana unayojenga kunisaidia! Kama wewe ni mmoja wa walionufaika na hela yake chafu ili umpigie debe, basi amepata hasara kubwa.

Anonymous said...

Wewe ni yule yule Anony#3, asiyekuwa na hoja zenye substance. Tuambie kwanini unadhani mafisadi walioko UKAWA ni bora kuliko mafisadi walioko CCM? Tujuavyo sisi, UKAWA is now harboring the disgraced corrupt elements from CCM, who switched parties solely to pursue opportunities to foster the same selfish interests they could no longer safeguard within CCM.

Rejea pia majibu yangu kwa #3.

Kubwabwaja tu bila kujenga hoja za msingi hakutamfanya mpiga kura amchague Fisadi Lowasa!