ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 13, 2015

PICHA 5 ZA USHAHIDI KUWA MAGUFULI HAKAMATIKI HIZI HAPA ONA LIVE DODOMA HAPA!!




Dr Magufuli ndiyo habari ya mjini hii ni ndani ya Dodoma na kutoa ujumbe wakusema kuwa Wafanyakazi wazembe,Nitalala nao mbeleeeeee


16 comments:

Anonymous said...

Hapo ni chama kimoja tu sio muunganiko wa chamaa jamani CCM Rahaaaaaa,,,

Anonymous said...

Glob hi Mali ya CCM
Mbona mnamndakia Lowassa

Anonymous said...

Tusidanganyane swala sio Magufuli Pombe swala ni utawala dhalimu CCM na Viongozi wake wakuu. Tunaba radhi waTanzania wamechokaaah.. Kieleweke hivyo.

Anonymous said...

Hizo ni picha za Mwanza mara baada ya kupitishwa na ccm... Hahahha.

Anonymous said...

Polish wasitisha maandamano kwenye kutafuta wadhamini
Magufuli alipita kote na misafara
Lakini mnaona ya Lowassa ni mikubwa na Watu wa ngazi zote wapo
Polisi Tanzania si ya CCM tutaandamana Kama alikopita Magufuli

Anonymous said...

mimi naona watoto tu wamejaa hapo,CCM mnasikitisha kweli.

Anonymous said...

mimi naona watoto ndio wamejaa hapo,CCM mnasikitisha kweli.

Anonymous said...

kweli UKAWA nuksi jamma imebidi waanze kampeni kabla ya wakati.

Anonymous said...

Jamani naomba kujuzwa! Mbona hawa watu kuanzia kwa askari mwenye kofia nyekundu wamegeuka upande mwengine, Na nyuma yake wamegeuka upande mwengine??

Anonymous said...

Me naisho dodoma tuekezeni nisehem gani dom..hatumtaki huyo makufuli dodoma

Anonymous said...

Waongo hao hiyo pic ni yazamani...dom hatumtaki huyo..hana mvuto pict yskutengeneza

Unknown said...

wewe Admin kama sio hizi sharia za mitandaoni leo ningekuvunjia heshima, maana umechoka kujiheshimu, kwa kutuwekea habari na picha zisizo sahihi kama watoto wadogo,,wewe huo kama picha zote hizo zimekua edited, angalia background zake, upande mmoja unafanana upande mwengine haufanani,, angalia watu walivyoelekea kumsikiliza huyo makufuli,, wametofautiana muelekeo, na ubanie hii comment

Unknown said...

Sasa huyu anasema sio hiyo dodoma ni mwanza. Mwengine anasema ash hao wote watoto? Mnaingia mchecheto hata bado

Anonymous said...

Utawala wa kidhalimu wa ccm mnafikiri watu watakuoneeni huruma na hizo kauli zenu za kipumbavu. Udhalimu waulize ndugu zetu wamarekani weusi jinsi kila kukicha vijana wanavyopetesha maisha yao kwenye mikono ya dola bila hatia halafu wao ndio wanaishia kuwa na makosa ya kubambikiwa . Halafu hizo ndizo serikali mnazozitolea mifano kwa utakatifu ulotukuka wa kidemokrasia poleni sana msiejua mnachokizungumza.

Anonymous said...

Ona wanavyotapatapa na bado mtanyooka tu chezee mafuriko ya lowasa, tumewachoka ondokeni hamna jipya

Anonymous said...

CCM kweli ndorobo wameunganisha unganisha picha mbili tofauti ili mradi tu watu waone mna watu hamuwezi kuzuia mafuriko ya Lowasa nyie