Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpokea Mgombea wa Urais Dkt John Pombe Magufuli kupitia Chama hicho
katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimpokea Mgombea Mwenza wa Urais Mh. Samia Suluhu kupitia Chama hicho
katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais katika Ofisi za NEC Leo.
Baadhi ya Viongozi wa CCM wakiwa katika Sherehe hizo za Mapokezi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiongea na Wananchi
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na wanachama
Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Mh. Samia Suluhu akiongea na Wanachama
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli (wa kwanza kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanachama
Wakionesha Fomu
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na
Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan na wakilakiwa na Mwenyekiti wa
CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akipokewa katika ofisi
ndogo ya CCM Mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam baada ya kutoka Tume
ya Uchaguzi kuchukua Fomu za kugombea Urais leo agosti 4, 2015.
PICHA NA IKULU
6 comments:
sasa ikule kivipi na mambo ya siasa
tuambieni
hapo ikulu inaingiaje?
IF YA'LL KNOW WHAT I MEAN "TO PROCTECT AND SERVE"
Tatizo u chadema mwingi,,, Lowasa hoyeeeee ikulu yaki Hongera Dr Slaa wee Mazalendo sio m roho.
mbali ya kuwa rais huyo ni mwenyekiti wa chama kama hufahamu. au unataka asitokee kwenye matukio muhimu ya chama kama Dr. slaa?
Ebo, mnaanza kuitumia IKULU kuhalalisha GOLI la MKONO?
Post a Comment