Advertisements

Wednesday, August 5, 2015

PINDA AFUNGUA MAONYESHO YA NANE NANE HUKO LINDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua maonyesho ya Nanenane kitaifa kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi, Mwantumu Mahiza na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Bnki kuu ya Tanzania wakatia lipotembelea banda la la Benki hiyo baada ya kufungua maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mashine ya kunyonyoa kuku wakati alipotembelea banda la kampuni ya ubia kati ya watanzania na wachina ya Poly Machinery ya Millennium Busibess Park jijijni Dares salaam, baada ya kufungua maonyesho ya Nanenane kwenye uwanja wa Ngongo Lindi Agosti 4, 2015

No comments: