Advertisements

Monday, August 31, 2015

Rais Kikwete Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa National Defence Headquarters

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa Uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters Lugalo jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimuonyesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchoro wa majengo ya Makao Makuu ya Ulinzi yatakayojengwa eneo la Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Wapili kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi na kulia ni Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China.

2 comments:

Anonymous said...

Chinese building the headquarters. After 50 years since Independence, no local firm can do that?

Unknown said...

After 50 years since independence no local firm can do that? You're talking pumba in what sense of mind you wanna compare Tanzania to China?