Advertisements

Saturday, August 22, 2015

THE ONE MIC SHOW NDANI YA KILIMANJARO STUDIO


 One Mic akiweka mambo sawa kabla ya kipichi cha One Mic Show hakijaruka hewani siku ya Ijumaa Aug 21, 2015. One Mic  ndiye mwenyeji wa kipindi cha one mic show kinachoruka LIVE kila siku ya Ijumaa kutoka Kilimanjaro Studia kuanzia saa 2 usiku kwa saa ya Amerika ya Mashariki 
 Ally Badawi aka mjuu wa masai akijiweka tayari kwenye kipindi cha One Mic Show
 Ally Badawi akipata picha na wageni waalikwa Linda wa Motomoto Kitchen kutoka Delaware na Patrick Kajale kutoka DMV. Linda alizungumzia kazi ya ya upishi huku Kajale akizungumzia tamasha la Kiswahili litakalofanyika DMB Sept 20, 2015.

Picha ya pamoja


No comments: