Advertisements

Monday, August 31, 2015

WATUMISHI WANAWAKE WA KRISTO WA KANISA LA TAG NCHINI WAADHIMISHA MIAKA 50 TANGU KUANZISHWA KWA CHAMA CHAO

 Makamu Mstaafu wa wanawake wa watumishi wa Kristo (WWK) Taifa  Bi. Eshimendi Roghat Swai akihubiri katika maadhimisho ya miaka 50 ya chama cha wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG) yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.Picha na John Banda.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafu Chiku Gallawa ( wa pili kutoka kushoto) akiwa pamoja na Baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo katika katika uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chama cha Wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG)
 
 Mwimbaji wa nyimbo za kuabudu nchini John Lisu akiwaongoza wanawake wa kanisa la TAG nchini kumwabudu Mungu kwa njia ya uimbaji wakati Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chama cha Wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG)
 Wanawake wa kanisa la TAG wakiimba na kucheza katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma wakati walipokuwa wakiadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chama cha wanawake wa WWK nchini.
 Wamissional Raia wa Malekani wakiwasalimia wanawake wa kanisa la TAG wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Chama cha Wanawake hao toka kuanzishwa ndani ya kanisa la Tanzania Assembless Of God (TAG) yalifanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
 
 Wanawake hao wakiandamana tokea Kata ya Makole karibu na jengo la Bunge mpaka uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambapo maadhimisho ya miaka 50 chama cha wanawake wa kanisa la TAG

No comments: