Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akutana na Balozi wa Msumbiji Nchini,Dkt. Vicente Mebunia
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment