ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 29, 2015

BENKI YA STANBIC YAZINDUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akifungua kitambaa kuashiria ufunguzi wa jengo la Benki ya Stanbic tawi la Mbeya katika hafla iliyofanyika hivi karibuni.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitembezwa katika ofisi za benki ya Stanbic baada ya kuzindua rasmi kutokana na kukamilika kwa ukarabati.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Munasa akibadilishana mawazo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa MbeyaAhmed Msangi pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Stanbic Hatibu Senkoro wakati wa hafla ya uzinduzi wa tawi la benki hiyo hivi karibuni. Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu.

No comments: