ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 26, 2015

DAR-ES-SALAAM, BONGO


6 comments:

Anonymous said...


Bado Bongo haijafikia hata chembe ya Nairobi..siye siasa nyingi maamuzi/vitendo zero..

http://www.cnn.com/2015/02/10/africa/nairobi-africa-intelligent-city/

Anonymous said...

Kwani Nairobi ndio kipimo cha maendeleo?

Anonymous said...

Kwani ni nani kakuambia tunashindana?

Anonymous said...

Kwani mashindano haya!

Unknown said...

Hayo maoni ya kusema bongo haijaifikia nairobi kama yametolewa na mkenya sawa na anyway wakenya majisifu ndio kazi yao ingawa hapo kwao hawana wanachokimiliki karibu kila kizuri unachokiona kinamilkiwa na wageni. Laki kama haya maoni yametolewa na mtanzania basi ni miongoni mwa wale watanzania wapumbavu kabisa kwa kiasi fulani wanatia kichefuchefu hata kuwaita watanzania.....watanzania ambao labda wanaulakini na utanzaia wao au wana roho mbaya au wana mawazo mgando ya kisiasa za chuki zime tawala katika fikra zao kwa kushindwa kuthamini vya kwetu. Picha ya hapo juu inaonyesha jinsi Dar inavyopiga hatua na kweli kama mtanzania najisikia fahari kuona vitu vya maendeleo kama hivi. Sasa leo mtu anaruka kama uharo, Aaagh! Bado bongo haijaifikia nairobi hata chembe, we baradhuli nini? Kwani Nairobi inaifikia hata chembe Johannesburg?

Anonymous said...

Mimi mbongo
Lakini yote yang'aayo si dhahabu
Kenya wametushinda
Muindo mbinu ya Dar tangu enzi za mkoloni
Kwani uzuri wa mji in vipaa anga
Tumeshelewa
Kwanini ulaya au USA wanajenga vipaa anga
1. Hakuna nafasi
2 muindo mbinu wamejenga hata kwa miaka 50 ijayo
3 maji na umeme Hakuna shida

Je bongo tunavyo vijezo hivi