ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 30, 2015

Diamond Platnumz - Ccm Number One

3 comments:

Anonymous said...

Ccm namba one kwa wizi
CCM namba one kwa kukosa busara
CCM number one kwa kuuza nyumba za uma bure
CCM namba one kwa kuuza unga
Community hod ari kwa kufunja haki za binadamu
CCM namba one kwa kuwa nyima walimu mishahara
CCM namba one kwa kuchakachua elimu ya tanzania
CCM namba one kwa kuwa na uwezo wa kupokea twiga kwenye ndege
CCM namba one kwa raisi wake kuishi airport
CCM namba one kwa nchi kukosa umeme
CCM namba kwa kurahusu viongozi wake kubeba hela za escrow kwa magunia

Anonymous said...

Diamond pesa umekunja huku unatubaniaa chama changu huna mpango na wewe myeyushaji tarehe 25 haiko.mbali! Wamekukunjia ngapi??

Anonymous said...

Watu wanafikiria maendeleo siyo kulalamika tu kila wakati. Mafisadi bomba linaziba hivyo sasa mmebaki kugwaya. Kama hamuwezi kuishi chini ya serikali ya CCM ombeni mpate uraia wa nchi mlioko kwani bosi wenu haingii Ikulu na hatakuwa na hela ya kuenedelea kuwafadhili!!!!!!!

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!

CCM Ikulu tena 10/25/2015.